hawa wanatumiwa na mashetani. hawana lolote. hata yule mchungaji aliyejifanya kuwaombea siku ile naye hajaokoka akaokoke upyaaa pamoja na kanisa lake lote....walipotoka tu pale kwa yule pasta, walienda kwa sheh Yahya. watoto vigagula hawana hata maana. ukiona mtu ana uwezo wa kubishana au kushindana na Mengi, uyo ujue si wa mchezo kidunia, pamoja na kwamba kwa watu wa Mungu, hawana lolote.