Naombeni cv ya masanja mkandamizaji jamani;amefika la saba??

Naombeni cv ya masanja mkandamizaji jamani;amefika la saba??

Status
Not open for further replies.

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Nimeguswa kuulizia hili kabla....ya kumuhukumu kwa kweli anaitaji msaada wa kiroho
na kimwili kabla ya kumhoji afya yake...nadhan ana matatizo ya akili kabisa kwa waliomwona
kwenye kipindi cha leo..hutosita kunitafutia elimu yake
 
si nilisikia kaokoka huyu?
nyway mi sijaona alichofanya and am kinda tired of them hata siwaangaliagi tena!!!

kafanyeje mamii??
 
mpuuzi kabisa huyu na wenzake lakini ndio anaeongoza wapumbavuwenzake
anamkashifu mzee senddeka bila kujua tatizo la matatizo yao
hana adabu
 
hata aliemwongoza sala ya toba inabidi atubu kwa kweli kwa kumuongoza
fedhuli kama huyu wachungaji muwe makini mkiona wanaokoka mjue
kuna uchaguzi wa kanisa na awachelewi kuomba post za UWEKA HAZINA
ANARUDI KULA MAJI NA WERA WERA YAKE WANATIA KINYAA KWA KWELI NAHISI WAMECHOKA NA MAUDHUI AMA SIJUI LAANA YA BABA ZAO MENGI ALIEWATOA CHOOONI
 
Hebu tuwekeeni video tuone amefanyaje maana inaweza kuwa kesi ya chui na mwana mbuzi hii!?
 
hawa wanatumiwa na mashetani. hawana lolote. hata yule mchungaji aliyejifanya kuwaombea siku ile naye hajaokoka akaokoke upyaaa pamoja na kanisa lake lote....walipotoka tu pale kwa yule pasta, walienda kwa sheh Yahya. watoto vigagula hawana hata maana. ukiona mtu ana uwezo wa kubishana au kushindana na Mengi, uyo ujue si wa mchezo kidunia, pamoja na kwamba kwa watu wa Mungu, hawana lolote.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom