Usher-smith MD
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 9,558
- 12,335
Aliekwambia kiingereza lazima uende shule nani?
Kwani kujua lugha ndio kufaulu?Mbona kaongea kingereza kizuri tu jana
Kiingereza ni lugha tu mkuu, kama alifundishwa tangia akiwa mdogo na alikuwa nayo lakini alishindwa kuitumia kuokoa wakina Damasi kwenye matokeo yake.Ana digrii
Toa maelezo vizuri kila mtu akisoma aelewe!
Siti Mtemvu nae alipita kwenye hzo stage?Achane kuharibu maisha ya watu. Miss TZ inaanzia ngazi ya kitongoji ambapo details zote (cv, birth certificates, and education certificates) zinawekwa mezani. Unataka tuamini kuwa hawakuliona hili hata baada ya kufungiwa miaka miwili?😉😉
Mtazamo wako FINYU. Huyo ataenda kuwakilisha taifa la Tanzania kwenye Miss World Washington DC December Mwaka huu 2016. Halafu unasema haituhusu. Mtazamo wako finyu na wote walio LIKE post yako.Inatusaidia nn sisi?? Jaribuni kuacha kuacha maisha ya watu yaende ...
Angalia mambo yako maliza shda na matatzo yako hayo ya wengne hayakuhusu wala hata ukijua haitasaidi lolote
2011Haya matokeo ni ya Mwaka gani
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Sio sura ya miaka 18 hiyo, sura inaonyesha ishapitia mipini na mikunjo ya kila aina eti ndio 18, sasa akifika 30 si atakua bibi kizee
Zitakanushwa vp nawakat Vielelezo vipoMiss mwendokasi!
Hizi habari zitakanushwa vikali, soon utawekwa uzi wa kukanusha haya....
Vyeo vya kupeana ivHivi hamna vetting kabla ya kushiriki kwenye haya mashindano?
MTU kashiriki kuanzia miss kitongoji, wilaya mkoa hadi taifa ndio mje kuona mapungufu.
Babu Hashim Lundenga jiuzulu umeprove failure
Watu wanatifua tifua mpaka vya ndan hukoMuacheni dada yetu ashakula shavu akitumia fursa vzuri ndo katoka.
Ndio maana waliyahamishia Mwanza. Hongera zake Miss.
Tumaini University labdaKwa matokeo haya ndio akaenda somea sheria?