Naombeni CV ya Miss Tanzania 2016

Naombeni CV ya Miss Tanzania 2016

Hivi kwenye haya mashindano kuna hela za serikali zinatumika? Kama hamna mwache nae ale kuku!

Lundenga kasha pita pale kaona anavingezo vyote kasahau term and cond" za mashindano
 
6978155bcc8cc4471970d1d5b75d507a.jpg
e877089f1db3033a2abc7c8c8fe760f5.jpg
Toa maelezo vizuri kila mtu akisoma aelewe!
 
Achane kuharibu maisha ya watu. Miss TZ inaanzia ngazi ya kitongoji ambapo details zote (cv, birth certificates, and education certificates) zinawekwa mezani. Unataka tuamini kuwa hawakuliona hili hata baada ya kufungiwa miaka miwili?😉😉
Siti Mtemvu nae alipita kwenye hzo stage?
 
Inatusaidia nn sisi?? Jaribuni kuacha kuacha maisha ya watu yaende ...
Angalia mambo yako maliza shda na matatzo yako hayo ya wengne hayakuhusu wala hata ukijua haitasaidi lolote
Mtazamo wako FINYU. Huyo ataenda kuwakilisha taifa la Tanzania kwenye Miss World Washington DC December Mwaka huu 2016. Halafu unasema haituhusu. Mtazamo wako finyu na wote walio LIKE post yako.
 
Hivi hamna vetting kabla ya kushiriki kwenye haya mashindano?
MTU kashiriki kuanzia miss kitongoji, wilaya mkoa hadi taifa ndio mje kuona mapungufu.
Babu Hashim Lundenga jiuzulu umeprove failure
Vyeo vya kupeana iv
 
Jamani pengine ana degree ya heshima kama madocta wetu mfano miye ni Dr utandu
 
Hizi si zama za kuwa under estimate watanzania[emoji28][emoji28][emoji28]....wasitujaribu
 
Degree na umiss WAP na WAP kwani waso na degree hawawezi kushiriki mashindano
 
Back
Top Bottom