Naombeni CV ya Miss Tanzania 2016

kama we ndio miss mwenyewe jiuzulu tu,na tutakuchunguza kwa sababu ni mtanzania mwenzetu
 

Please cheki kuanzia dk ya 8 utapa majibu
 
Hiko sio kilema weka yako tuone
MISS TANZANIA 2016
[emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87]
JINA😀iana Edward Lukumai
UMRI:Miaka 18
ELIMU:Shahada(degree)
Hii ina maana;
Alianza Chuo akiwa na miaka 15
Alianza Form one akiwa na miaka 9
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ingawa sio mshabik wa haya mambo napenda nchukue hii nafasi kuwapongeza Wazazi wote kama wazazi wa Diana ambao watoto wao wameanza shule ya msingi wakiwa na miaka miwili
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…