Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama we ndio miss mwenyewe jiuzulu tu,na tutakuchunguza kwa sababu ni mtanzania mwenzetuDah!! Aibu sana mtu unapoteza mda kufikunyua maisha ya watu ili ikusaidie nn??
Kwann usingetumia mda huo kutafti mambo ya kiuchumi ili ulete mabadliko??
Badlikeni jaman mambo ya kuanza kumchambua mtu na kumfuatilia wakat huna manufaa nayo haina maana wala msingi..
Hayo ndio matatzo ya kushinda kwenye saloon za Dada zenu na kuiga mitindo ya kike mmeanza kuwa na tabia zakike tayae
Miaka yake inarudi nyuma.
Sio matokeo... shida ni mwaka aliomaliza form 4 ni 2011 sasa hivi ana miaka 18 alimaliza form na miaka 13?Umiss na matokeo ya darasani vinahusiana Vipi? Tuacheni umbumbu.
Kumekuwepo na habari nyingi kwenye mitandao mbali mbali ya kijamii kwamba miss tz 2016 ana miaka kumi na nane na anashahada ya sheria. Anaejua ukweli atusaidie
![]()
Je haya yanayosemwa ni ya kweli?
JINA😀iana Edward Lukumai
UMRI:Miaka 18
ELIMU:Shahada(degree)
Hii ina maana;
Alianza Chuo Kikuu akiwa na miaka 15
Alianza Form one akiwa na miaka 9
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ingawa sio mshabiki wa haya mambo napenda nchukue hii nafasi kuwapongeza Wazazi wote kama wazazi wa Diana ambao watoto wao wameanza shule ya msingi wakiwa na miaka miwili...
miss Tanzania sio miss wakispot spot
Waunganishe na ule wa Cv ya miss wa tzMods unganisheni huu uzi
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
MISS TANZANIA 2016Hiko sio kilema weka yako tuone
MISS TANZANIA 2016
[emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87]
JINA😀iana Edward Lukumai
UMRI:Miaka 18
ELIMU:Shahada(degree)
Hii ina maana;
Alianza Chuo akiwa na miaka 15
Alianza Form one akiwa na miaka 9
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ingawa sio mshabik wa haya mambo napenda nchukue hii nafasi kuwapongeza Wazazi wote kama wazazi wa Diana ambao watoto wao wameanza shule ya msingi wakiwa na miaka miwili