nwele yona
New Member
- Dec 28, 2013
- 2
- 0
Ana digrii
TAARIFA KWA UMMALeta Cv Yake
Miss mwendokasi!
Hizi habari zitakanushwa vikali, soon utawekwa uzi wa kukanusha haya....
Mkuu kunaupotoshaji mkubwa u nafanyika tena Makusudi matokeo ni ya Diana Exaud Lukumayi na sio Diana Edward Lukumay.taarifa zinakinzana,Diana Edward Lukumay au Diana Edward Loy?anyway sina wasiwasi taarifa sahihi tutazipata soon.
Ahaha hiyo basi noma. Itakuwa mambo ya Sitti TenaSio matokeo... shida ni mwaka aliomaliza form 4 ni 2011 sasa hivi ana miaka 18 alimaliza form na miaka 13?
Mtazamo finyu na utabaki hivyo siku zote!Hayo ndio mawazo ya kijinga kuweza kutokea dunian..
Ungekuwa ww ni mtu mwenye mtazamo mzuri ungeweza hata kucritise kipindi wanafanya mchakato wa kuwachagua ..
Sasa leo hata ulete umbea wako wa kike wa kuchunguza mambo ya watu wala haitasaidia kitu.
Mnajifanya wachambuaji wa mambo baada ya wenzenu kufanikiwa.. Sijui mijitu mingne mkoje..
Hivi nyumban kwako au kwenye ukoo wako hakuna mtu mwenye shida ya aina yoyote?? Kwann mda huo usitumie kumsaidia ili hata baadae itakapokufa na kuiacha familia yako aweze kuendeleza umoja wa kiukoo???
Mkuu kubali tu kubadlika unahoji mambo ya kijinga sana.. Mambo ambayo hayana manufaa yoyote..
Mgirik FAKEDah!! Aibu sana mtu unapoteza mda kufikunyua maisha ya watu ili ikusaidie nn??
Kwann usingetumia mda huo kutafti mambo ya kiuchumi ili ulete mabadliko??
Badlikeni jaman mambo ya kuanza kumchambua mtu na kumfuatilia wakat huna manufaa nayo haina maana wala msingi..
Hayo ndio matatzo ya kushinda kwenye saloon za Dada zenu na kuiga mitindo ya kike mmeanza kuwa na tabia zakike tayae