Naombeni CV ya Miss Tanzania 2016

Naombeni CV ya Miss Tanzania 2016

Nani ame karangaaphoto haya matokeo?
1477848392975.jpg

Basi ekotipe X 5
 
Leta Cv Yake
TAARIFA KWA UMMA

Napenda kuujulisha Umma yafuatayo;

1. Miss Tanzania 2016/2017 aliyeshinda taji jana jijini Mwanza, anaitwa Diana Edward Loy na siyo Diana Lukumai kama inavyotajwa mitandaoni.

2. Mlimbwende huyo amemaliza kidato cha nne 2015 Shule ya Sekondari Arusha Day na si 2011 kama inavyotajwa mitandaoni kwa malengo ovu.

3. Diana hajawahi kujiunga na Elimu ya Chuo Kikuu chochote Tanzania au duniani bali anatarajia kujiunga mwaka huu katika chuo cha IFM kusomea masula ya kodi ngazi ya stashahada (cheti) ingawa kulingana na ratiba zake na majukumu yake mapya ikiwemo kushiriki Miss world mapya huenda akaahirisha mwaka wake wa masomo.

4. Tunawasihi watanzania kutumia vyema mitandao ya kijamii na si kufanya "Character assassination" lakini pia tunaheshimu haki yao ya msingi ya kuhoji masuala ya msingi kabisa kuhusu mtu ambaye ni Public figure na ataliwakilisha taifa katika anga za kimataifa.

Tumuunge mkono mlimbwende wetu ili atuletee Taji la Dunia.

Ahsanteni.

Charles William
Kaimu Ofisa Habari wake.
0716719589 (wilflow101@gmail.com).
 
taarifa zinakinzana,Diana Edward Lukumay au Diana Edward Loy?anyway sina wasiwasi taarifa sahihi tutazipata soon.
 
Miss Tanzania 2016/2017 aliyeshinda taji jana jijini Mwanza, anaitwa Diana Edward Loy na siyo Diana Lukumai kama inavyotajwa mitandaoni.

2. Mlimbwende huyo amemaliza kidato cha nne 2015 Shule ya Sekondari Arusha Day na si 2011 kama inavyotajwa mitandaoni kwa malengo ovu.

3. Diana hajawahi kujiunga na Elimu ya Chuo Kikuu chochote Tanzania au duniani bali anatarajia kujiunga mwaka huu katika chuo cha IFM kusomea masula ya kodi ngazi ya stashahada (cheti) ingawa kulingana na ratiba zake na majukumu yake mapya ikiwemo kushiriki Miss world mapya huenda akaahirisha mwaka wake wa masomo.

4. Tunawasihi watanzania kutumia vyema mitandao ya kijamii na si kufanya "Character assassination" lakini pia tunaheshimu haki yao ya msingi ya kuhoji masuala ya msingi kabisa kuhusu mtu ambaye ni Public figure na ataliwakilisha taifa katika anga za kimataifa.

Tumuunge mkono mlimbwende wetu ili atuletee Taji la Dunia.
 
Hayo ndio mawazo ya kijinga kuweza kutokea dunian..
Ungekuwa ww ni mtu mwenye mtazamo mzuri ungeweza hata kucritise kipindi wanafanya mchakato wa kuwachagua ..

Sasa leo hata ulete umbea wako wa kike wa kuchunguza mambo ya watu wala haitasaidia kitu.

Mnajifanya wachambuaji wa mambo baada ya wenzenu kufanikiwa.. Sijui mijitu mingne mkoje..
Hivi nyumban kwako au kwenye ukoo wako hakuna mtu mwenye shida ya aina yoyote?? Kwann mda huo usitumie kumsaidia ili hata baadae itakapokufa na kuiacha familia yako aweze kuendeleza umoja wa kiukoo???

Mkuu kubali tu kubadlika unahoji mambo ya kijinga sana.. Mambo ambayo hayana manufaa yoyote..
Mtazamo finyu na utabaki hivyo siku zote!
 
Raha sana kuishi nchi kama Tanzania.......no magumashi
Nikikumbuka jinsi matokeo ya mtoto wa uncle Magu watu walivyoyatafuta huwa nacheka mwenyew tuu
 
Dah!! Aibu sana mtu unapoteza mda kufikunyua maisha ya watu ili ikusaidie nn??
Kwann usingetumia mda huo kutafti mambo ya kiuchumi ili ulete mabadliko??

Badlikeni jaman mambo ya kuanza kumchambua mtu na kumfuatilia wakat huna manufaa nayo haina maana wala msingi..

Hayo ndio matatzo ya kushinda kwenye saloon za Dada zenu na kuiga mitindo ya kike mmeanza kuwa na tabia zakike tayae
Mgirik FAKE
 
Back
Top Bottom