Naombeni CV ya Miss Tanzania 2016


Bora mmetujuza wakuu.
Nilianza kutatizika mapema kuhusu elimu yake.Tumuunge mkono miss Tz, amestahili tunzo.
 
dah hii nchi ni ya matakataka kabisa yn, yn figisu za waziwazi.
 
Hapo kwenye namba 3...stashahada (cheti) [emoji56] [emoji56] [emoji56]
 
Jf siku hizi imekuwa inaongoza kwa kutumika kuchafua watu ...nimemsikia msemaji wa huyu miss tanzania anaseama kuwa huyo miss hajasoma na hakuwai kusoma degree.....
 
Ila sura ya huyu binti na umri wake ni ardhi na mbingu havifanani aseme ukweli tu

Kuhusu elimu siweki neno maana kunakureset pia
 
Hivi ni yeye ndiye aliyesema kuwa ana degree ya sheria?

Au ni watu tu wanatunga maneno?
 
Sio sura ya miaka 18 hiyo, sura inaonyesha ishapitia mipini na mikunjo ya kila aina eti ndio 18, sasa akifika 30 si atakua bibi kizee
Wewe ni msukuma bila shaka

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Jaman wana JF naomben mnisaidie vigezo vya kuingia kugombania miss TZ mana kama anasema amemaliza form 4 mwaka jana sasa lundenga haoni kama ameweka vigezo ambavyo vitasababisha mtu aache masomo mana ikitokea mtu akichaguliwa advance level au chuo inakuaje.
M nadhani kama ni kwel amemaliza form 4 mwaka jana basi inabidi waongeze vigezo vya kuingia kwenye mashindano iwe lazima uwe na degree ya kwanza na kuendelea
 
Jf siku hizi imekuwa inaongoza kwa kutumika kuchafua watu ...nimemsikia msemaji wa huyu miss tanzania anaseama kuwa huyo miss hajasoma na hakuwai kusoma degree.....
Ni kweli kabisa wanamtungia maneno ambayo hakuyasema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…