Imposibo_
JF-Expert Member
- Feb 1, 2016
- 2,746
- 2,121
He he he dada ako niniUnajishushia heshima mkuu, ungepinga kwa hoja na si vioja kama unavyofanya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
He he he dada ako niniUnajishushia heshima mkuu, ungepinga kwa hoja na si vioja kama unavyofanya.
Kwani kujua lugha ndio kufaulu?
Aliekwambia kiingereza lazima uende shule nani?
Basi ndio kafaulu hivyo!Ndio, kama hujui lugha utafaulu vp??
Asante kwa taarifa kiongozi. So who came up with Lukumay and degree stuffs? Natamani ajulikane na kuchukuliwa sheria for character assassination mara mojaTAARIFA KWA UMMA
Napenda kuujulisha Umma yafuatayo;
1. Miss Tanzania 2016/2017 aliyeshinda taji jana jijini Mwanza, anaitwa Diana Edward Loy na siyo Diana Lukumai kama inavyotajwa mitandaoni.
2. Mlimbwende huyo amemaliza kidato cha nne 2015 Shule ya Sekondari Arusha Day na si 2011 kama inavyotajwa mitandaoni kwa malengo ovu.
3. Diana hajawahi kujiunga na Elimu ya Chuo Kikuu chochote Tanzania au duniani bali anatarajia kujiunga mwaka huu katika chuo cha IFM kusomea masula ya kodi ngazi ya stashahada (cheti) ingawa kulingana na ratiba zake na majukumu yake mapya ikiwemo kushiriki Miss world mapya huenda akaahirisha mwaka wake wa masomo.
4. Tunawasihi watanzania kutumia vyema mitandao ya kijamii na si kufanya "Character assassination" lakini pia tunaheshimu haki yao ya msingi ya kuhoji masuala ya msingi kabisa kuhusu mtu ambaye ni Public figure na ataliwakilisha taifa katika anga za kimataifa.
Tumuunge mkono mlimbwende wetu ili atuletee Taji la Dunia.
Ahsanteni.
Charles William
Kaimu Ofisa Habari wake.
0716719589 (wilflow101@gmail.com).
CnP
2010Haya matokeo ni ya Mwaka gani
Asante kwa taarifaTAARIFA KWA UMMA

Wanachohoji ni kwamba hiyo degree alihitimu mwaka gani? Na kwanini wamesema ana shahada hali ya kuwa matokeo yanakataa ya kidato cha nne.kama angepitia ngazi ya cheti basi angekuwa bado hajahitimu.Degree na umiss WAP na WAP kwani waso na degree hawawezi kushiriki mashindano