masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,207
- 14,343
Niulizie hapa hata Kuala siwez nimeegemea mtoPole Sana, wakati nipo mdogo pumu ilinisumbua Sana na nilikunywa dawa nyingi sikumbuki ipi iliniponyesha maana nilipewa Hadi mafuta ya Simba, Kuna majani nilikuwa navuta Kama sigara.
Kwa kifupi ngoja nikuulizie.
Unatakiwa uende ukiwa kwenye attack au muda wowote kupata hiyo Tina,maana Kwa ninavyohisi Kesho asubuh nikachome sindano so nikisema niende aghakan baada ya sindano kitakua kimeachiaPole sana, Pumu huwa ni ya kuwahi, nenda Agha khan nilitibiwa hapo na nikapona kabisa, watakuanzishia quick relief na badae watakupa controller medicines. Kama upo kwenye acute watakupa dawa zote kwa pamoja quick and control medics.
Utatibiwa inategemea ipo katika stage gani, utapona nenda Agha Khan mkuu.
Pia kwa faida ya wengine Pumu inayoanza tiba yake ni mazoezi aerobic hasa kukimbia usiache ikomae.
Asthma haina complete tiba hasa ile ya kurithiNina kama 5 yrs tangu nimeanza kupata asthma attack as we speak nipo macho. Kipindi cha baridi kikianza ninapata shida kweli.
Naombeni Dawa jamani Sio ya kurithi hamna mtu kwetu anayo
Kwa yeyote mwenye tatizo la pumu.Nina kama 5 yrs tangu nimeanza kupata asthma attack as we speak nipo macho. Kipindi cha baridi kikianza ninapata shida kweli.
Naombeni Dawa jamani Sio ya kurithi hamna mtu kwetu anayo
🤔🤔🤔Kwa yeyote mwenye tatizo la pumu.
Tuma kijana akutafutie nungunungu hawa wanaotembea tembea kwenye fensi, amchinje na kumchuna ile ngozi yake yenye miiba. Ianike hiyo ngozi mpaka ikauke. Tafuta sufuria ndogo, tumia kisu kukwangua ile miiba ya nungunungu kwenye sufuria. Injika sufuria jikoni kisha anza kukaanga hiyo miiba usiweke kitu chochote endelea kukoroga mpaka miiba itaanza kuungua na kutengeneza unga mweusi.
Huo unga mweusi kila siku asubuhi na jioni chukua nusu kijiko cha chai, changanya na kijiko kimoja cha maziwa fresh kunywa.
NB: Hiyo nyama ya nungunungu chemsha supu kunywa na nyama zote kula ni tamu kuliko supu ya kuku wa kienyeji.
Umepona.
Kuna mtaalamu anaiuza yupo Msanga zalala ( kisarawe district rural) ni utomvu wa mti, unauweka kwenye majimoto yanayeyuka unakunywa. Ndani ya siku kumi na 4 unakaa sawa kabisa.Nina kama 5 yrs tangu nimeanza kupata asthma attack as we speak nipo macho. Kipindi cha baridi kikianza ninapata shida kweli.
Naombeni Dawa jamani Sio ya kurithi hamna mtu kwetu anayo
Nimeiona, imebidi niache kuandika dawa nayoifahamu😊
Umeona hiyo ya nungunungu...
Nimeiona, imebidi niache kuandika dawa nayoifahamu
Sijaona aliyeandika mizizi ya mitipori
Jifukize majani ya mkaratusi. Chuma, chemsha, jifunikie humo na shuka kwa kama dakika 5 - 10.Nina kama 5 yrs tangu nimeanza kupata asthma attack as we speak nipo macho. Kipindi cha baridi kikianza ninapata shida kweli.
Naombeni Dawa jamani Sio ya kurithi hamna mtu kwetu anayeugua.