Naombeni Dawa ya asthma/pumu

Naombeni Dawa ya asthma/pumu

Pole sana Mkuu.

Nafahamu jinsi pumu inavyosumbua hasa wakati wa usiku?

Je unatumia dawa yoyote ya kutuliza hali hiyo ikikutokea?

Mimi sio Daktari, lakini nimeshawahi kufuatilia tiba ya asili ya kutibu tatizo hilo japokuwa sikufika hadi mwisho kwa mgonjwa husika kwa sababu sikufanikiwa kuiandaa dawa hiyo.

Propolis tincture inaweza kutibu tatizo hilo. Propolis ni gundi ya nyuki inayotumika katika mzinga kuziba na kuhakikisha unakuwa salama (gundi iliyotokana na mate ya nyuki pamoja na nta).

Propolis tincture huandaliwa kwa kuchukua kiasi kidogo cha hiyo propolis na kuchanganywa na kimiminika chochote chenye alcohol kuanzia asilimia 40 na ikishayeyuka humo unaichuja kwenye chombo kingine.

Matumizi ni unamimina matone kadhaa kwenye chai kila asubuhi na jioni na baada ya muda chini ya mwezi utayaona matokeo.
 
Pole sana, Pumu huwa ni ya kuwahi, nenda Agha khan nilitibiwa hapo na nikapona kabisa, watakuanzishia quick relief na badae watakupa controller medicines. Kama upo kwenye acute watakupa dawa zote kwa pamoja quick and control medics.

Utatibiwa inategemea ipo katika stage gani, utapona nenda Agha Khan mkuu.

Pia kwa faida ya wengine Pumu inayoanza tiba yake ni mazoezi aerobic hasa kukimbia usiache ikomae.
 
Unatakiwa uende ukiwa kwenye attack au muda wowote kupata hiyo Tina,maana Kwa ninavyohisi Kesho asubuh nikachome sindano so nikisema niende aghakan baada ya sindano kitakua kimeachia
 
Pole sana masai dada .tumia asthalin na Budesonide. Lakini pia ukitumia vitunguu maji, vitunguu saumu na karafuu husaidia sana (at least kwangu vimekuwa msaada mkubwa sana hivyo situmii dawa za hospitali mara kwa mara?).

Mie pia ilianzia ukubwani sema kwetu upande wa mama kuna historia ya pumu. Wishing you a quick recovery.
 
Nina kama 5 yrs tangu nimeanza kupata asthma attack as we speak nipo macho. Kipindi cha baridi kikianza ninapata shida kweli.

Naombeni Dawa jamani Sio ya kurithi hamna mtu kwetu anayo
Asthma haina complete tiba hasa ile ya kurithi

Ila nitakutumia namba ya Mzee mmoja nasikia anatengenezaga kwa kutumia wale konokono wa baharini + maji ya nazi na korokoro zingine....wengi wanasema dawa yake inasaidia sana

Ila kwasasa nakushauri kabla ya kulala usiku uwe unachemsha chai ya tangawizi kali yenye karafuu na kunywa
 
Nina kama 5 yrs tangu nimeanza kupata asthma attack as we speak nipo macho. Kipindi cha baridi kikianza ninapata shida kweli.

Naombeni Dawa jamani Sio ya kurithi hamna mtu kwetu anayo
Kwa yeyote mwenye tatizo la pumu.

Tuma kijana akutafutie nungunungu hawa wanaotembea tembea kwenye fensi, amchinje na kumchuna ile ngozi yake yenye miiba. Ianike hiyo ngozi mpaka ikauke. Tafuta sufuria ndogo, tumia kisu kukwangua ile miiba ya nungunungu kwenye sufuria. Injika sufuria jikoni kisha anza kukaanga hiyo miiba usiweke kitu chochote endelea kukoroga mpaka miiba itaanza kuungua na kutengeneza unga mweusi.

Huo unga mweusi kila siku asubuhi na jioni chukua nusu kijiko cha chai, changanya na kijiko kimoja cha maziwa fresh kunywa.

NB: Hiyo nyama ya nungunungu chemsha supu kunywa na nyama zote kula ni tamu kuliko supu ya kuku wa kienyeji.

Umepona.
 
🤔🤔🤔
 
Nina kama 5 yrs tangu nimeanza kupata asthma attack as we speak nipo macho. Kipindi cha baridi kikianza ninapata shida kweli.

Naombeni Dawa jamani Sio ya kurithi hamna mtu kwetu anayo
Kuna mtaalamu anaiuza yupo Msanga zalala ( kisarawe district rural) ni utomvu wa mti, unauweka kwenye majimoto yanayeyuka unakunywa. Ndani ya siku kumi na 4 unakaa sawa kabisa.

Changamoto yake ni :

Inapatikana kwa nadra sana .
Ila ukitumia unapona kabisa nina shuhuda nyingi za mtaani
 
Mi nilishanyoosha mikono ,mara ya mwisho wamenichomea miba ya nungu nungu ,wakanifunika na blanketi nusu nikate moto.Ila hawa wajomba nawapenda sana wameokoa maisha yangu mara chungu nzima.
IMG_20240720_074628_793~3.jpg
 
Nenda kapate ushauri wa Daktari, utasaidia maana humu JF kila member ni dokta.
Usije ukatumia vitu vya ajabu alafu baadae vikakudhuru.

Be careful with you health.
 
  • Nzuri
Reactions: EEX
Nina kama 5 yrs tangu nimeanza kupata asthma attack as we speak nipo macho. Kipindi cha baridi kikianza ninapata shida kweli.

Naombeni Dawa jamani Sio ya kurithi hamna mtu kwetu anayeugua.
Jifukize majani ya mkaratusi. Chuma, chemsha, jifunikie humo na shuka kwa kama dakika 5 - 10.

Hii niliambiwa na Mzee Yakala; msukuma mmoja hapo Mwanza.
Mdogo wangu alikiwa anapata attacks sana, akajifukiza kama week 3 tu akaacha na since then (alikuwa form 2) mpaka leo hakuwahi pata attack tena.

Nilikuja kuona kitu similar kwenye series ya LOST, Kuna scene mtu kapata asthmatic attack, mtu akatafuna eucalyptus akamwekea karibu na pua na kwenye paji la uso so nikaunga dots.

I hope it helps!
 
Attachments

  • Screenshot_2024-07-20-09-06-40-152_com.android.chrome.jpg
    Screenshot_2024-07-20-09-06-40-152_com.android.chrome.jpg
    316.3 KB · Views: 10
Back
Top Bottom