Naombeni Dawa ya asthma/pumu

Unatakiwa uende ukiwa kwenye attack au muda wowote kupata hiyo Tina,maana Kwa ninavyohisi Kesho asubuh nikachome sindano so nikisema niende aghakan baada ya sindano kitakua kimes
naomba mawasiliano
Ila mtaalam maana yake mganga au herbalist?
 
Niifanye kipindi ambacho naumwa au nikiwa kawaida
 
Nina kama 5 yrs tangu nimeanza kupata asthma attack as we speak nipo macho. Kipindi cha baridi kikianza ninapata shida kweli.

Naombeni Dawa jamani Sio ya kurithi hamna mtu kwetu anayo
Pole sana dada, Mimi pia nilipata hiyo shida Kuna dawa nimetumia mwezi wa5 mwaka huu nimeona matokeo lakini sio ya hospital
 
Zamani(nilivyokuwa primary) pumu ilikuwa inanisumbua sana nikawa natafuna vitunguu swaumu. Siku hizi inanipanda mara moja moja nikifanyaga kazi kwenye mazingira ya vumbi, natumiaga hizi dawa za hospitalin za kunywa napona
 
Niifanye kipindi ambacho naumwa au nikiwa kawaida
Masai, siku nyingine ikikushika tumia kitunguu maji kamua juice yake kunywa au kama hapo karibu kuna jani la leaf of life litafune na mwenyeezi mungu akipenda utapata nafuu, nakuombea quick recovery
 
Hii inaweza patikana kwa kweli
 
Nina kama 5 yrs tangu nimeanza kupata asthma attack as we speak nipo macho. Kipindi cha baridi kikianza ninapata shida kweli.

Naombeni Dawa jamani Sio ya kurithi hamna mtu kwetu anayo
Pole sana kwa changamoto yako unaweza kwenda hospitali ukapata lkn ukiwa nyumban unaweza kuepukana na vitu vinavyopelekea ukapata izo attack mfano inaweza kuwa vumbi, maua fulani nk
 
Nina kama 5 yrs tangu nimeanza kupata asthma attack as we speak nipo macho. Kipindi cha baridi kikianza ninapata shida kweli.

Naombeni Dawa jamani Sio ya kurithi hamna mtu kwetu anayo
Vitunguu swaumu
 
Vitunguu saumu,vitunguu maji na karafuu unaichemsha?
 
Mzizi mkavu ndiyo anga zake hizi..
Zamani nilikuwa nasikiasikia kuna majani ya mgomba unayavunda kwenye majivu ni zamani sana ukitaka nikupe namba ya mama yetu mmoja aliyebakia uongee naye
Naomba plz
 
Hiyo ya chai nakunywa sana chai ila natumia iliki ngoja niongneze na tangawizi na karafuu
 
Kwa hali niyofikia simtumi hata kijana ningemuona nungunungu ningemkamata mwenyewe na kumchinja
Ila huku mjini sijawa muona
 
Nishatumisha majani ya mkaratusi nitakuja na jib
 
Kwa hali niyofikia simtumi hata kijana ningemuona nungunungu ningemkamata mwenyewe na kumchinja
Ila huku mjini sijawa muona
Nungunungu wiki mbili zilizopita nilienda Moshi nikasogea kwa msomali kijiji kimoja kinaitwa Embokoi wapo wengi sana hasa usiku wanatembea hovyo
 
Pole sana kwa changamoto yako unaweza kwenda hospitali ukapata lkn ukiwa nyumban unaweza kuepukana na vitu vinavyopelekea ukapata izo attack mfano inaweza kuwa vumbi, maua fulani nk
Tatizo ni baridi
Yaani ingekua kuna namna ya kutengeneza joto. Kwa mwaka mzima ningefanya hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…