masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,207
- 14,343
- Thread starter
- #21
Unatakiwa uende ukiwa kwenye attack au muda wowote kupata hiyo Tina,maana Kwa ninavyohisi Kesho asubuh nikachome sindano so nikisema niende aghakan baada ya sindano kitakua kimesPole sana, Pumu huwa ni ya kuwahi, nenda Agha khan nilitibiwa hapo na nikapona kabisa, watakuanzishia quick relief na badae watakupa controller medicines. Kama upo kwenye acute watakupa dawa zote kwa pamoja quick and control medics.
Utatibiwa inategemea ipo katika stage gani, utapona nenda Agha Khan mkuu.
Pia kwa faida ya wengine Pumu inayoanza tiba yake ni mazoezi aerobic hasa kukimbia usiache ikomae.
naomba mawasilianoKuna mtaalamu anaiuza yupo Msanga zalala ( kisarawe district rural) ni utomvu wa mti, unauweka kwenye majimoto yanayeyuka unakunywa. Ndani ya siku kumi na 4 unakaa sawa kabisa.
Changamoto yake ni :
Inapatikana kwa nadra sana .
Ila ukitumia unapona kabisa nina shuhuda nyingi za mtaani
Ila mtaalam maana yake mganga au herbalist?