Naombeni Dawa ya asthma/pumu

Nina kama 5 yrs tangu nimeanza kupata asthma attack as we speak nipo macho. Kipindi cha baridi kikianza ninapata shida kweli.

Naombeni Dawa jamani Sio ya kurithi hamna mtu kwetu anayo

masai dada , mrejesho please.

-Kaveli-
 
Ila kuumwa 🙌🙌

Ukiambiwa hata ule kinyesi cha shoga ili upone, unakula.

Daah..

Pole sana.
 
Umeshawqhi kutumia majani ya asthma
 
Attachments

  • 1000051969.jpg
    399.5 KB · Views: 5
Aghakan ya wap kaka dar au morogoro au aghakan tawi lolote
 
Nina kama 5 yrs tangu nimeanza kupata asthma attack as we speak nipo macho. Kipindi cha baridi kikianza ninapata shida kweli.

Naombeni Dawa jamani Sio ya kurithi hamna mtu kwetu anayo
Mkuu pole kwa maradhi yako ya Pumu nitafute kwa wakati wako ili niweze kukutibia maradhi yako na upate kupona uguwa pole.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…