Naombeni Dawa ya asthma/pumu

Naombeni Dawa ya asthma/pumu

Unatakiwa uende ukiwa kwenye attack au muda wowote kupata hiyo Tina,maana Kwa ninavyohisi Kesho asubuh nikachome sindano so nikisema niende aghakan baada ya sindano kitakua kimes

naomba mawasiliano
Ila mtaalam maana yake mganga au herbalist?
Herbalist
 
Masai, siku nyingine ikikushika tumia kitunguu maji kamua juice yake kunywa au kama hapo karibu kuna jani la leaf of life litafune na mwenyeezi mungu akipenda utapata nafuu, nakuombea quick recovery
Asante keaf of life ikoje?
 
Nina kama 5 yrs tangu nimeanza kupata asthma attack as we speak nipo macho. Kipindi cha baridi kikianza ninapata shida kweli.

Naombeni Dawa jamani Sio ya kurithi hamna mtu kwetu anayo
Pole sana kwa ushauri mtafute mtaalamu mwenye experience na athma hospital upate matibabu.

Kwa tiba za nyumbani tumia vitunguu swaumu na tangawizi uwekee kwa maji moto unywe, pia binzari ile mbichi ukichanganya kidogo sana kwenye asali vijiko 2 unaweza ukawa unatumia kila siku usiku kabla ya kulala inasaidia pia. Pia hiyo ya mkaratusi tumia itakusaidia sana.

ANGALIZO: matumizi ya vitunguu saum huwa yanasababisha pia presha kushuka hivyo si vyema kutumia kama una tatizo la presha ya kushuka, pia hiyo tumeric usiitumie masaa machache kabla ya oparesheni yoyote kutokana na kazi yake ya kurahisisha flow ya damu.
 
Asante sana
 
Na mimi pia nina pumu ila yangu ni ya kurithi. Inanitesa sana. Msaada kwa mtu anaejua dawa
 
Hii inaweza patikana kwa kweli
B96092D4-C3FB-40BF-9058-1352191E68D4.jpeg

Mkuu unaendeleaje?

Nimekutana na hii propolis tincture tena kwenye kundi la watu wa masuala ya ufugaji nyuki.

Nasikia pia inatibu matatizo ya meno na fizi.

Ukifanikiwa kutumia utatuletea mrejesho.
 
Back
Top Bottom