Naombeni dawa ya kudeal na wezi wa Mifugo

The ice breaker

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2023
Posts
1,119
Reaction score
2,441
Wakuu habari

Nina mashamba yangu huko pwani, nimepanga nikaweke mifugo kama mbuzi, ng'ombe na kondoo

Ila sasa kuna ndugu ameniambia huko kuna Mang'ati wanaiba sana mifugo

Sasa nipeni Dawa hawa jamaa nita deal nao vipi?
 
Hakikisha shamba halina Pori.
Lina mwanga wa kutosha usiku.
Na unamiliki Bunduki..
 
Back
Top Bottom