The ice breaker
JF-Expert Member
- Apr 20, 2023
- 1,119
- 2,441
MsataPwani Wilaya gani
Hiyo ni kweli kuna jirani yangu ana shamba la mifugo huko hao wajuba walikomba mbuzi zote ila wanaiba kimadawa waleMsata
Naona nitumie dawa za kienyejiUwizi hauna solution mkuu ni kuotewa Tu maana hata ukiwa na bunduki watakuotea wakiwa na info zako muhimu labda Tu weka walinzi kila
Unakubali kufanya ushirikina ndugu?Naona nitumie dawa za kienyeji
Hakikisha shamba halina Pori.Wakuu habari
Nina mashamba yangu huko pwani, nimepanga nikaweke mifugo kama mbuzi, ng'ombe na kondoo
Ila sasa kuna ndugu ameniambia huko kuna Mang'ati wanaiba sana mifugo
Sasa nipeni Dawa hawa jamaa nita deal nao vipi?