Naombeni dawa

Naombeni dawa

Joined
Apr 10, 2013
Posts
71
Reaction score
14
Nasumbuliwa na muwasho kwenye pua ,maskio, macho na koo na nnapga chafya xana naombeni tu muniambie dawa mdamwngne cpati ucngz kbxa
 
Hiyo inaitwa allergic rhinitis
Unaweza ukatumia piriton kama mdau alivyokwambia hapo juu au cetirizine/loratadine/chlopheniramine.....
Tumia na steroid kidogo "fluticasone furoate"(avamys) sprayer hii unapuliza puani mara 1 kwa siku ukiwa umepata hilo tatizo
Pia jaribu kuchek sensitizing agent zinazokufanya uwe hivyo kama vumbi,perfume nk unapaswa kuviepuka
 
Back
Top Bottom