Naombeni details za hii PhD aliyopewa huyu na kama hii sio PhD ya aina yake hapa Tanzania?

Naombeni details za hii PhD aliyopewa huyu na kama hii sio PhD ya aina yake hapa Tanzania?

Wakati Jana Prof.Makulilo anawahudhurisha wahitimu Kuna Dada Jana amekabidhiwa PhD ya matumizi ya Vipodozi kama sikosei ,"The case of Bongo Movies"!
Nilisikiliza topics za PHD zilizotolewa jana na UDOM kwa kweli naona hata mimi soon na enroll PHD pale UDOM.
Tanzania hakuna Prof wote ni njaa njaa tupu. Waambie publication zao ziko wapi na wale wa sayansi maabara zao ziko wapi?
 
Nchi hii watu wana makaratasi yaliyoandikwa PhD lkn kiuhalisia vichwani mwao hawana kitu kabisa. Chukulia mfano huyu aliyeghushi PhD ya kemia, hata akiongea unaona kabisa huyu ni takataka
 
Hata msoma wasifu wa Dr.John Pombe Joseph Magufuli,eti naye Professor labda wangeishia kusema tu Mayor wa Jiji LA Dodoma basi! Professor hata kusoma tu wasifu unashindwa mara atake Ku - sound kama Juma Nkamia na kama ule Wasifu uliandaliwa na Professor basi elimu ya Bongo ni Vyeti na Makaratasi ya kutafutia ugali tu!
 
Rofa kabisa wewe
Nchi hii watu wana makaratasi ysliyoandikwa PhD lkn kiuhalisia vichwani mwao hawana kitu kabisa. Chukulia mfano huyu aliyofoji PhD ya kemia, hata akiongea unaona kabisa huyu ni takataka
 
Wacha niseme leo ukweli wasomi wengi wa nchi hii wanafanya kazi nje waliopo ni PhD uchwara wengi sio compitent na hawana published paper Refer profesor anayejitambua hawezi kuja kufundisha bongo wanabaki kwenye vyuo vya nje na wengi wanafanya kazi kwenye makampuni ya nje na taasisi sisi tunawatumia wale uchwara. Kama wapo labda kidogo udsm.
 
Wacha niseme leo ukweli wasomi wengi wa nchi hii wanafanya kazi nje waliopo ni PhD uchwara wengi sio compitent na hawana published paper Refer profesor anayejitambua hawezi kuja kufundisha bongo wanabaki kwenye vyuo vya nje na wengi wanafanya kazi kwenye makampuni ya nje na taasisi sisi tunawatumia wale uchwara.
Hapana Mkuu Mlimani wapo,walikuwepo...Prof Chachage,Ngware,Mukandala,Shivji,Ahmed,Haroub,Kamata,Lwaitama ...aisee orodha inaniishia. ,afu nashangaa wengi NI Marehemu!
 
Kumbe ndo maana kina Hamis Kigwangala wanajidai na madegree ma4 ila huoni kitu kabisa kwenye thinking zao!
 
Nchi hii watu wana makaratasi yaliyoandikwa PhD lkn kiuhalisia vichwani mwao hawana kitu kabisa. Chukulia mfano huyu aliyeghushi PhD ya kemia, hata akiongea unaona kabisa huyu ni takataka
Kuwa makini na kauli zako

Usijione kwakuwa upo nyuma ya keyboard basi una Uhuru wa kutukana na kutoa kejeri kwa mkuu wa nchi

Watu kama nyie ndio mnaiweka rehan JF kufungiwa kila siku na kumpa misukosuko Melo
 
Acha kutisha watu wewe mlamba viatu wa Lumumba. Nenda kakojoe ulale. Kwani mm nimemtaja mkuu wa nchi? Au ndiyo unatuhabarisha watanzania kwamba ameghushi PhD yake? Hivi kumbe PhD yake ni ya kemia?
 
Kuwa makini na kauli zako

Usijione kwakuwa upo nyuma ya keyboard basi una Uhuru wa kutukana na kutoa kejeri kwa mkuu wa nchi

Watu kama nyie ndio mnaiweka rehan JF kufungiwa kila siku na kumpa misukosuko Melo
Unawashwa washwa nini wewe! Kwani katajwa mtu?
 
Wacha niseme leo ukweli wasomi wengi wa nchi hii wanafanya kazi nje waliopo ni PhD uchwara wengi sio compitent na hawana published paper Refer profesor anayejitambua hawezi kuja kufundisha bongo wanabaki kwenye vyuo vya nje na wengi wanafanya kazi kwenye makampuni ya nje na taasisi sisi tunawatumia wale uchwara. Kama wapo labda kidogo udsm.
Punguza wivu
 
Back
Top Bottom