Fumadilu Kalimanzila
JF-Expert Member
- Dec 10, 2016
- 1,885
- 5,625
Tanzania hakuna Prof wote ni njaa njaa tupu. Waambie publication zao ziko wapi na wale wa sayansi maabara zao ziko wapi?Wakati Jana Prof.Makulilo anawahudhurisha wahitimu Kuna Dada Jana amekabidhiwa PhD ya matumizi ya Vipodozi kama sikosei ,"The case of Bongo Movies"!
Nilisikiliza topics za PHD zilizotolewa jana na UDOM kwa kweli naona hata mimi soon na enroll PHD pale UDOM.
Nchi hii watu wana makaratasi ysliyoandikwa PhD lkn kiuhalisia vichwani mwao hawana kitu kabisa. Chukulia mfano huyu aliyofoji PhD ya kemia, hata akiongea unaona kabisa huyu ni takataka
Hapana Mkuu Mlimani wapo,walikuwepo...Prof Chachage,Ngware,Mukandala,Shivji,Ahmed,Haroub,Kamata,Lwaitama ...aisee orodha inaniishia. ,afu nashangaa wengi NI Marehemu!Wacha niseme leo ukweli wasomi wengi wa nchi hii wanafanya kazi nje waliopo ni PhD uchwara wengi sio compitent na hawana published paper Refer profesor anayejitambua hawezi kuja kufundisha bongo wanabaki kwenye vyuo vya nje na wengi wanafanya kazi kwenye makampuni ya nje na taasisi sisi tunawatumia wale uchwara.
Na wewe in miongoni mwa takataka? Pole sana.Rofa kabisa wewe
Usisahau Prof DJ MkudeHapana Mkuu Mlimani wapo,walikuwepo...Prof Chachage,Ngware,Mukandala,Shivji,Ahmed,Haroub,Kamata,Lwaitama ...aisee orodha inaniishia. ,afu nashangaa wengi NI Marehemu!
Kuwa makini na kauli zakoNchi hii watu wana makaratasi yaliyoandikwa PhD lkn kiuhalisia vichwani mwao hawana kitu kabisa. Chukulia mfano huyu aliyeghushi PhD ya kemia, hata akiongea unaona kabisa huyu ni takataka
Acha kutisha watu wewe mlamba viatu wa Lumumba. Nenda kakojoe ulale. Kwani mm nimemtaja mkuu wa nchi? Au ndiyo unatuhabarisha watanzania kwamba ameghushi PhD yake? Hivi kumbe PhD yake ni ya kemia?Kuwa makini na kauli zako
Usijione kwakuwa upo nyuma ya keyboard basi una Uhuru wa kutukana na kutoa kejeri kwa mkuu wa nchi
Watu kama nyie ndio mnaiweka rehan JF kufungiwa kila siku na kumpa misukosuko Melo
Unawashwa washwa nini wewe! Kwani katajwa mtu?Kuwa makini na kauli zako
Usijione kwakuwa upo nyuma ya keyboard basi una Uhuru wa kutukana na kutoa kejeri kwa mkuu wa nchi
Watu kama nyie ndio mnaiweka rehan JF kufungiwa kila siku na kumpa misukosuko Melo
Punguza wivuWacha niseme leo ukweli wasomi wengi wa nchi hii wanafanya kazi nje waliopo ni PhD uchwara wengi sio compitent na hawana published paper Refer profesor anayejitambua hawezi kuja kufundisha bongo wanabaki kwenye vyuo vya nje na wengi wanafanya kazi kwenye makampuni ya nje na taasisi sisi tunawatumia wale uchwara. Kama wapo labda kidogo udsm.