Naombeni elimu juu ya uwekezaji wa Bondi

mfumbilwa

Member
Joined
Mar 16, 2012
Posts
13
Reaction score
20
Nimekuwa nikisikiasikia kuwa benki ya NMB inauza BONDI. Na watu hununua Bondi hizo. Naombeni kueleweshwa juu ya biashara hiyo kwa mwenye uelewa.

Asante.
 
Nimekuwa nikisikiasikia kuwa benki ya NMB inauza BONDI. Na watu hununua Bondi hizo. Naombeni kueleweshwa juu ya biashara hiyo kwa mwenye uelewa.

Asante.

Taja kiasi ndio ushauliwe. Kuna mdau mmoja tulitoa ushauli hevy kumbe ana ka laki sita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…