Duka gani naweza pata kwa tsh 10,000?Vinauzwa hadi 10,000 ukilia Lia pia vina shuka. Hakuna kitu ni MA cheap lens tu hayo.
Kioo kinatengenezwa na ppi maalum ukizoom tayari unafanya display yako kuwa mbovu.
Kama hiiDuka gani naweza pata kwa tsh 10,000?
Mazuri kwenye picha ila kiuhalisia ni matakataka.Ni vizuri, yaani vinatoa picha Quality? Bei zake zinachezaje?
View attachment 1766298View attachment 1766299View attachment 1766300View attachment 1766301
Kwa nini ? Tuelezee kidogo.Mazuri kwenye picha ila kiuhalisia ni matakataka.