>kupata Mimba siku ya 10 mpaka 17
>Kutokupata Mimba siku ya 3 baada ya kumaliza Damu mpaka siku ya 9. Na kuanzia siku ya 18 mpaka siku ya kuanza kubleed.
Ila wanawake wachache sanaaa wanamzunguko wa siku 28. Wengi ni juu ya hapo. Reason Protein mbalimbali katika chakula.