N Ngoksi Member Joined Jan 17, 2012 Posts 45 Reaction score 12 Apr 18, 2012 #1 Eti ni siku gan wanamke baada ya mp anaweza pata na kutopata mimba kwa yule anaepata mp baada ya siku 28
Eti ni siku gan wanamke baada ya mp anaweza pata na kutopata mimba kwa yule anaepata mp baada ya siku 28
WaliNazi JF-Expert Member Joined Mar 7, 2012 Posts 851 Reaction score 96 Apr 18, 2012 #2 ..jf doctor..
Preta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2009 Posts 24,320 Reaction score 18,852 Apr 18, 2012 #3 fuata hapo..... http://www.freeovulationcalendar.net/
RGforever JF-Expert Member Joined Apr 3, 2011 Posts 6,878 Reaction score 5,432 Apr 18, 2012 #4 >kupata Mimba siku ya 10 mpaka 17 >Kutokupata Mimba siku ya 3 baada ya kumaliza Damu mpaka siku ya 9. Na kuanzia siku ya 18 mpaka siku ya kuanza kubleed. Ila wanawake wachache sanaaa wanamzunguko wa siku 28. Wengi ni juu ya hapo. Reason Protein mbalimbali katika chakula.
>kupata Mimba siku ya 10 mpaka 17 >Kutokupata Mimba siku ya 3 baada ya kumaliza Damu mpaka siku ya 9. Na kuanzia siku ya 18 mpaka siku ya kuanza kubleed. Ila wanawake wachache sanaaa wanamzunguko wa siku 28. Wengi ni juu ya hapo. Reason Protein mbalimbali katika chakula.