Ahaaa kutumia mkorogo mi naonaga ni ujinga uliopitilizaKuna dada mmoja namjua anaya advertise tuu uso katakataa huyoo tizama miguu sasaa Lord js look at the feet chaaa
Ukitaka jua rangi halisi ya mtu tazama miguuu
Asietumia mkorogo miguu inafanana na mwili au imeng'aa zaidi
Anaetumia mkorogo miguu imefifia kuliko uso
KutojikubaliAhaaa kutumia mkorogo mi naonaga ni ujinga uliopitiliza
Ahahaa kwa nini?Huu uzi ni mzuri..sichezi nao mbali
Karibu tukusaidieKila nikinunua lotion mpya inanishinda najirudia kwenye Revlon.... Kwa kweli long live Revlon [emoji38]
Hahahahahaha kwa sababu n uzi pendwa kwa ss wanawake.... Tunapenda kupendezaaAhahaa kwa nini?
Mh wewe utakuwa na ngozi ya kenge nivea hadi wanaume tuna ikubaliMi natumia ya Nazi tu, yapo vizuri hakuna chunusi wala mini, Revlon inanitoa chunusi, Nivea na yenyewe sio, Vaseline nayo hovyo tu na mengineo mengi, nimejirudia kwenye Nazi yangu aaah, safi kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Oooohw.... Yani nilikua nishachukua namba nipate iyo kitu ya boutoer sijui πππ. Nilivyo mweusi sijui ningekua mgeni wa naniKuna dada mmoja namjua anaya advertise tuu uso katakataa huyoo tizama miguu sasaa Lord js look at the feet chaaa
Ukitaka jua rangi halisi ya mtu tazama miguuu
Asietumia mkorogo miguu inafanana na mwili au imeng'aa zaidi
Anaetumia mkorogo miguu imefifia kuliko uso