naombeni gharama au mtaji wa kufuga samaki

naombeni gharama au mtaji wa kufuga samaki

m bena

Member
Joined
Aug 22, 2013
Posts
18
Reaction score
1
kama nilivyo eleza apo juu nataka kujua mtaji wa kufuga fish kwenye mabwawa na zinakaa mda gani kabla kuanza kuuza kukamata mshiko na njinsi ya kuwa fuga ata ndondo za maisha yao
 
Back
Top Bottom