Naombeni huu wimbo

Bushmamy

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2019
Posts
9,140
Reaction score
15,963
Huu wimbo nimeupata ukiwa hivi nusu nahitaji wote,
Tafadhali mwenye nao Naomba anisaidie


hapa.
Shukrani kwa atakaenisaidia
Your browser is not able to display this video.
 
Naona mkuu Pendael24 kaupiga mwingi tiali... ila kwa siku nyingine... ukiitaji wimbo wa kwenye clip kama hivi unawasha Shazam una play hiyo clip shazam watakupa majibu.. kama sio iPhone user unaweza kudownload vidmate kutoka google (sio playstore) kwa ajilj ya kupakua vitu youtube


naomba kuwasilisha<
 
Shukrani mkuu
 
Naombeni kipande cha video ya huu wimbo unaosikika tafadhali, au kama hawakutoaga video basi hata audio yake
Asanteni.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…