if not now
Senior Member
- Mar 4, 2017
- 186
- 171
Ngoja waje wadada wa mjini!Habari za saa hii wakuu na pole sana kwa mchakamchaka wakutwa nzima..
Sasa wanawane mimi nilikuwa naswali kwa wakina dada wale wanaotaka wanaume wenye magari, wadada mnaotaka mwanaume mwenye gari kwani we dereva hadi utake mwanaume gari?
NawasubiriNgoja waje wadada wa mjini!
Hata cjalielewa swali lako
Ukiangalia wmwadad weng na 2017 in kwmba wanapenda rahaaaa San na ndo mana hata ndoa nying hazidum kutokan na wengibwao wanapenda rahaaaa kulikonkupitia maisha ya shidKwanini wanataka wanaume wenye magari ndo swali
Umeambiwa sinatafuta lako na ww
Huy atakuwa mwanamke wa kwelInaweza kuwa ni moja ya vitu/kigezo cha anachotaka kutoka kwa mwanaume wake
Sio dhambi
Kwanini?Huy atakuwa mwanamke wa kwel
Karneeeee hiii amabay tunaishi sikuiz bhan hakuna mapenz ya kwel. Siyo kwa mwanaue na kwamwamk maaan mwanamke anaangalia kipato na mwanaume anaangali nin ambacho anacho huy mwanamkeKwanini?