Naombeni jibu

Naombeni jibu

if not now

Senior Member
Joined
Mar 4, 2017
Posts
186
Reaction score
171
Habari za saa hii wakuu na pole sana kwa mchakamchaka wakutwa nzima..
Sasa wanawane mimi nilikuwa naswali kwa wakina dada wale wanaotaka wanaume wenye magari, wadada mnaotaka mwanaume mwenye gari kwani we dereva hadi utake mwanaume mwenye gari?
 
Habari za saa hii wakuu na pole sana kwa mchakamchaka wakutwa nzima..
Sasa wanawane mimi nilikuwa naswali kwa wakina dada wale wanaotaka wanaume wenye magari, wadada mnaotaka mwanaume mwenye gari kwani we dereva hadi utake mwanaume gari?
Ngoja waje wadada wa mjini!
 
Karneeeee hiii amabay tunaishi sikuiz bhan hakuna mapenz ya kwel. Siyo kwa mwanaue na kwamwamk maaan mwanamke anaangalia kipato na mwanaume anaangali nin ambacho anacho huy mwanamke
 
Back
Top Bottom