kichomiz
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 19,257
- 12,244
Huu mzigo umetokea kuwa maarufu sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu mzigo umetokea kuwa maarufu sana
Hiyo ni 1VD-FTE, na ukikuta 1hd kwenye mkonga nyingi ni zile za kuunga ambazo watu wanachukua body Malawi na kuivisha injini ya 1hd wazee wa Mbeya ndio zao unaikuta macho ya panzi namba A ina jiko la 1hd-fte.+1
Kuna mdau anasema hiyo Ni 1hz yenye intercooler ndo kichwa kinaniuma sijawahi ona turbocharged 1hz
Sent
Huu mzigo una balaa ni multipurpose. Ukiamua utumie kistaarabu unaacha muffler ya kawaida, ukitaka kelele unaweka muffler kubwa(After market muffler) yani muungurumo wake si wakitoto.Huu mzigo umetokea kuwa maarufu sana
Hapa Mjapani alicheza kweliHuu mzigo una balaa ni multipurpose. Ukiamua utumie kistaarabu unaacha muffler ya kawaida, ukitaka kelele unaweka muffler kubwa(After market muffler) yani muungurumo wake si wakitoto.
Subaru akae pembeni hiyo 1vd-fte moto wake si mchezo,hii injini unaweza ukajihisi unaendesha Freightliner Argosy au Peterbit inavyokohoa.