Naombeni kazi au kibarua njee ya taaluma yangu

Naombeni kazi au kibarua njee ya taaluma yangu

clinton gidioni

Senior Member
Joined
Oct 24, 2016
Posts
172
Reaction score
194
Wakuu poleni na majukumu. Kijana mwenye nguvu na afya njema naombeni ajira au kibarua ili niweze kumudu garama za maisha hapa Tanzania.

NATAFUTA AJIRA AU KAZI NJE YA TAALUMA YANGU.
Nipo tayari kufanya kazi za saidia fundi upande ujenzi.
elimu kidato cha nne.

Umri 29
mkazi wa Dar es salaam
Taaluma au fani heavy machine operator nauwezo wa kuoparate excavator loller na wheelloader.

Nimepita gereji nikawa nadeal hasa na key programing.

nipo tayari kujifunza zaidi.
Mshana Jr na wengine nisaidieni niweze kumudu garama za maisha. naimani kupitia jf nitapata mwanga.
0694185384
 
Kama una nauli au pesa ya akiba toka hapo tafuta sehemu zenye migodi inayoendeshwa kisasa hizo machine ulizonazo zinatumika sana.Kaa kwenye hiyo miji kuna kitu wale jamaa wa migodini wanasema kusotea unaweza pata Mungu ni wa wote.

Au nenda site za construction zenye project kubwa unaweza pata chochote kitu
 
shukrani sana mkuu nitafanya hivyo.
 
wenye conection na SONGEA KWENYE MAKAA YA MAWE NJOONI MNIPE MSAADA.
 
Si kwa ubaya, lakini katika moja ya nyuzi ambazo watu hawapaswi kuzichukulia serious ni kama hiz za hawa watu wanatafuta kazi/ajira. Ni za kuzipotezea kabisaa
 
pole sana ndugu kama nitabaatika kuongea na wenye mamlaka nitakujibu uje tushughulike wote
 
jaribu kariakoo kuna majengo mengi yanajengwa wahi asubuhi sana utapata.pia mtangulize Mungu.nipo estim ila ni pagumu kuingia.
 
jaribu kariakoo kuna majengo mengi yanajengwa wahi asubuhi sana utapata.pia mtangulize Mungu.nipo estim ila ni pagumu kuingia.
shukrani sana mkuu kama utabahatika kuongea na wakubwa hata kama kuna nafasi kwenye uleba au stillfixer sio mbaya.
hakuna kitu kizuri kama kujua kesho unaamkia wapi ukiangalia una majukumu
 
Back
Top Bottom