clinton gidioni
Senior Member
- Oct 24, 2016
- 172
- 194
shukrani sana mkuu nitafanya hivyo.Kama una nauli au pesa ya akiba toka hapo tafuta sehemu zenye migodi inayoendeshwa kisasa hizo machine ulizonazo zinatumika sana.Kaa kwenye hiyo miji kuna kitu wale jamaa wa migodini wanasema kusotea unaweza pata Mungu ni wa wote.
Au nenda site za construction zenye project kubwa unaweza pata chochote kitu
Kila la kherishukrani sana mkuu nitafanya hivyo.
ni kwa upeo wakoSi kwa ubaya, lakini katika moja ya nyuzi ambazo watu hawapaswi kuzichukulia serious ni kama hiz za hawa watu wanatafuta kazi/ajira. Ni za kuzipotezea kabisaa
Na experience pia. Kwan sio wewe wa kwanzani kwa upeo wako
jaribu kunipa msaada angalau mm niwe wa mwisho binadamu hatulingani kiongozi kuwa na huruma maisha tuna pitaNa experience pia. Kwan sio wewe wa
shukrani sana mkuu kama utabahatika kuongea na wakubwa hata kama kuna nafasi kwenye uleba au stillfixer sio mbaya.jaribu kariakoo kuna majengo mengi yanajengwa wahi asubuhi sana utapata.pia mtangulize Mungu.nipo estim ila ni pagumu kuingia.