Habari za wakati huu WANAJF!
Kijana mwenzenu nna majukumu ya mke na watoto, Sina kazi ya kuniingizia kipato.
Nina elimu ya chuo (sio kigezo), naishi DSM.
Naombeni mwenye mchongo (day work) / kazi/ kibarua cha kulipwa kwa siku ama vyoyote aniunganishe ili niweze kukimu mahitaji ya Familia.
Naweza kufanya kazi yoyote halali kwa Mwenyezi Mungu na Sheria Za Nchi.
Asanteni