Naombeni kazi kwa yeyote anayeweza niona nafaa

Hubagui kazi na wakati umeshasema hutaki kazi za kutumia nguvu 🤣🤣🤣🤣🤣.

Maliza kwanza masomo kijana ,usikimbilie suti wakati nepi hujavaa.
 
Hubagui kazi na wakati umeshasema hutaki kazi za kutumia nguvu 🤣🤣🤣🤣🤣.

Maliza kwanza masomo kijana ,usikimbilie suti wakati nepi hujavaa.
Kweli kiongozi, nimekupata. Sema kuna sababu ya kusema siwezi kazi zenye kutumia nguvu sana kulingana na afya yangu. Ila mbali na hapo kazi yoyote nafanya kiongozi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…