Mme_Wangu
Member
- Feb 7, 2025
- 14
- 69
Umri Wangu miaka 27 elimu yangu degree najiskia vibaya aibu sana ninapovitaja hivi vitu viwili. Sio kama mm ni mvivu wa kufikiria hapana nimekua nikijaribu kufanya kila niwezalo kuweka maisha yangu kwenye mstari na Kuna kipindi nilikua vzr tu lakn Kwa siku za hivi karibuni nimeyumba sana imefikia hatua hata mia mbovu nakosa
Kwa sasa naishi Kwa rafikiangu dar es salaam yeye ni mlinzi kwenye kampuni Moja analipwa 180k kanifanyia mpango wa kupata Kazi lakn nimeambiwa nivumilie NAFASI inaweza kupatikana mwezi wa tano na penyewe sio UHAKIKA sana sasa sijui nitaishi vp Kwa MUDA huo wote
Kwasasa nakula Mlo Mmoja tu na Kuna siku zingine nalala bila kula kabisa
Naomba kama Kuna mtu anaweza kunisaidia connection ya KAZI yoyote Ile hata ya kulipwa elf5 Kwa siku nitashukuru sana iwe Kazi ya ujenzi KAZI ya kutumia nguvu KAZI yoyote Ile ninafanya
Asante sana.