Naombeni kazi, nina Shahada ya Uchumi

Naombeni kazi, nina Shahada ya Uchumi

Peribus

Senior Member
Joined
Nov 28, 2021
Posts
101
Reaction score
177
Habari

Mimi ni Mhitimu wa chuo ngazi ya shahada (Uchumi) naomba mwenye kujua taasisi zinazohitaji mchumi, au connection ya kazi zinazoendana.

Nipo tayari kufanya kazi taasisi yoyote , naweza kufanya kazi za planning and management , research, consulting nk.

Napatikana DSM #0688165156 natanguliza shukrani🙏
 
Sawa. Ila katoe tofali hata 5 kariakoo kwanza tuone.
 
Degree ya uchumi alafu unafuta kazi! ............. planning and management , research, consulting nk. Integumentary innovationalizatonalised cultural practices
 
Back
Top Bottom