Naombeni kazi ya utabibu kwa part time ndani ya jiji la Dar es salaam

Naombeni kazi ya utabibu kwa part time ndani ya jiji la Dar es salaam

Doctor MD

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2020
Posts
209
Reaction score
249
Habari zenu ndugu zangu wa Wana JF,

Mimi ni kijana mwenye taaluma ya utabibu na Nina uwezo wa kufanya kazi hyo kwa miaka 2 Sasa. Nina uhitaji wa Ajira hyo ndani ya jiji la Dar es salaam Mana ndipo makaz yang kwa Sasa.

Kama waweza kunisaidia hata connection pia nitashukuru Sana. Hivo nahtaji msaada wemu huo ili niweze nami kuuendesha maisha

Naomba ni inbox kwa mawasliano zaidi
Email yang ni akimudevid@gmail.com
 
Samahani kwa kukosea kosea kichwa Cha habari
 
Back
Top Bottom