Mimi ni kijana mwenye taaluma ya utabibu na Nina uwezo wa kufanya kazi hyo kwa miaka 2 Sasa. Nina uhitaji wa Ajira hyo ndani ya jiji la Dar es salaam Mana ndipo makaz yang kwa Sasa.
Kama waweza kunisaidia hata connection pia nitashukuru Sana. Hivo nahtaji msaada wemu huo ili niweze nami kuuendesha maisha