Naombeni kazi yoyote ile ya halali nifanye wakati huo nikisubiri majibu ya kampuni za ulinzi nilizo omba

Pain killer

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2017
Posts
14,361
Reaction score
21,680
Mkuu kampuni gan umeomba

Mbona garda ukiomba unaanza mafunzo hapo hapo haina kusubili subili hovyo hovyo
 
Ukikamilisha kila kitu ,haina haja ya kusubili wanakwambia njoo siku flan unakuta wenzio tayar ,unaanza training ukimaliza ,unapangiwa lindo ,unanza kuingiza 250k ,kwa mwezi

Hakuna sijui subili subili
😭😭😭
 
Mkuu wewe uko Garda
 
Fanya betting
 
Ungekuwa Dar ningekwambia njoo kesho mapema asbh bsndarini nikuuungainshe na kiongozi wa magenge uwe kuli uwe unalipwa kulingana na ukataji wako wa contena ila sasa japo ni pesa ndogo ila si haba lkn sasa upo Arusha tunafanyaje....
 
Pesa Tsh ngap mkuu

Mkuu ninashida nayo hiii
Msaada please
 
Pesa Tsh ngap mkuu
Contena ya 40 ni sh elfu 40 contena ya 20 ni shilingi elfu 20 na kila genge ni watu wa4 sasa kama genge lenu mpo watu wa4 mkskata cotena 4 za 40 au cotena 4 za 20 mnafedha nzuri tu kwa siku ĺkn lzm muwe na vitambulisho vya suma port service amba yo zita waruhusu kuingia na kufanya kazi bandarini ni hivyo....lzm uwe na refleta muhimu...
 
Mkuu nakuomba nisaidie mimi please sina ishu ya kufanya nakuomba please nipo Kigamboni
 
Kamanda niasaidie iyo ishu ndugu yangu nipo tabata hapa nisaidie sana ndugu yangu
 
Hivyo vitambulisho vinapatikana vipi au nikigezo gn kinatumika kupata kitambulisho
 
Ungekuwa Dar ningekwambia njoo kesho mapema asbh bsndarini nikuuungainshe na kiongozi wa magenge uwe kuli uwe unalipwa kulingana na ukataji wako wa contena ila sasa japo ni pesa ndogo ila si haba lkn sasa upo Arusha tunafanyaje....
Pesa ndogo kama shilingi ngapi?
 
Huu uzi unakoelekea ni kupata kazi wengine kabla ya aliefungua uzi.
mimi naona kipaumbele cha kwanza apewe aliefungua uzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…