Naombeni kazi yoyote ya Kariakoo kama ya kuuza duka

levit, wamasena kuna kazi kwenye viwanda huko mbagala, lakini lazima uwe ngangari kwamba watu wanazikimbia, kajaribu bahati yako huko
 
Tofauti na kkoo?
Huyu jamaa,

Mwaka 2024 alikuwa anauza viatu

Mwaka 2025 akauza Subaru ingawa specifications ni za harrier


Sasa anatafuta kibarua
 
Kwa upande wangu hapo sijaona tatizo mambo hubadilikaga.
 
Hizi biashara ya viatu ilifeli....na hiyo udalali wa magari sijawahi kupata mteja ata mmoja so ni kweli nilifeli biashara zote. MAISHA NI HATUA
 
Masikini atakuwa dalali..
 
Yaliyopita sio ndwele. Tugange yajayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…