naombeni kueleweshwa kisheria juu ya hili

Pole na matatizo ya ndoa ila kuwa makini na aina ya ushauri unaopata jf maana si wote ni wanandoa.Ila sheria inataka haki sawa tu hakuna wa kuumia zaidi wala kuneemeka zaidi
 
kweli weww ni msomi? umeenda shule kabisa ama umeiba cheti? nani kakusomesha??

acha ujinga na hao ndugu zake anaowapa hela zako unafikiri wanajua ni weww unawasaidia! wanajua ni kaka yao na kama mlishitakiana hadi kwao watakuwa wanakuona mchoyo balaa,

Toa hela nusu ya mshahara wako kwa ajili ya matumizi ya hapo ndani tu kama ununue chakula, uchangie ada za watoto kama wapo, nusu iliyobaki ni ya kwako robo waweza wapatia wazazi wako na robo mambo yako binafsi kwa raha zako upendeze.

huyo mwanaume hata kama hana kazi aende hata akawe saidia fundi huko alete chochote kumtunza mwanaume kabisaaaa siku zote unakiuka maandiko ya quran/ biblia.

Password zako unampa za kazi gani!? tena anza kuonyesha msimamo mapema sahivi ajipange siku zinavyoenda ndo hutambasilisha kabisaa, mwanzoni mtagombana lakini ukiwa na msimamo atazoea , akikupiga unamahitaki.

ujue lakini ndugu zake hawatakusapoti kabisaaa hilo uwe nalo ni jeshi la mtu mmoja
 
thanks kwa ushauri
 
pole kwa msongo wa mawazo, i think unachohitaji ni kutafuta muda wa kujadiliana na huyo mumeo na kujadiliana jinsi ya kuendesha familia otherwise itawagharimu sana
 
Back
Top Bottom