Naombeni kueleweshwa kuhusu hii ishu ya Freelancer

Joined
Jan 26, 2019
Posts
87
Reaction score
113
Habari,

Wanajukwaa naomba kueleweshwa kuhusu hii ishu ya Uwakala wa kusaji laini (Freelancer).

Je, INALIPA? au ni kupoteza muda bila mafanikio kama ndiyo ushawahi kuona mtu kafanikiwa?
 
Uliona mtu akafanikiwa kwa ajira
 
Back
Top Bottom