Naombeni Kufahamishwa Soko la Mbaazi

Naombeni Kufahamishwa Soko la Mbaazi

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
14,753
Reaction score
9,575
HABARINI

Wadau kwa anayehitaji mbaazi zipo zinapatikana ni inbox kwani natafuta wanunuzi wa mbaazi au kwa anayefahamu soko lake naweza pata wapi wadau nisaidieni.
 
Uko wapi? Mana mbaazi huku niliko kila siku zinapakiwa kwenye magari kwenda dsm.

#MaendeleoHayanaChama
 
Back
Top Bottom