ladyfurahia JF-Expert Member Joined May 10, 2011 Posts 14,753 Reaction score 9,575 Sep 16, 2022 #1 HABARINI Wadau kwa anayehitaji mbaazi zipo zinapatikana ni inbox kwani natafuta wanunuzi wa mbaazi au kwa anayefahamu soko lake naweza pata wapi wadau nisaidieni.
HABARINI Wadau kwa anayehitaji mbaazi zipo zinapatikana ni inbox kwani natafuta wanunuzi wa mbaazi au kwa anayefahamu soko lake naweza pata wapi wadau nisaidieni.
jiwe angavu JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 20,419 Reaction score 39,217 Sep 16, 2022 #2 Uko wapi? Mana mbaazi huku niliko kila siku zinapakiwa kwenye magari kwenda dsm. #MaendeleoHayanaChama
Uko wapi? Mana mbaazi huku niliko kila siku zinapakiwa kwenye magari kwenda dsm. #MaendeleoHayanaChama
ladyfurahia JF-Expert Member Joined May 10, 2011 Posts 14,753 Reaction score 9,575 Sep 16, 2022 Thread starter #3 jiwe angavu said: Uko wapi?mana mbaazi huku niliko kila siku zinapakiwa kwenye magari kwenda dsm. #MaendeleoHayanaChama Click to expand... Morogoro
jiwe angavu said: Uko wapi?mana mbaazi huku niliko kila siku zinapakiwa kwenye magari kwenda dsm. #MaendeleoHayanaChama Click to expand... Morogoro
ladyfurahia JF-Expert Member Joined May 10, 2011 Posts 14,753 Reaction score 9,575 Sep 16, 2022 Thread starter #4 jiwe angavu said: Uko wapi? Mana mbaazi huku niliko kila siku zinapakiwa kwenye magari kwenda dsm. #MaendeleoHayanaChama Click to expand... huko uliko itafaa ukinifahamisha wapi mkuu
jiwe angavu said: Uko wapi? Mana mbaazi huku niliko kila siku zinapakiwa kwenye magari kwenda dsm. #MaendeleoHayanaChama Click to expand... huko uliko itafaa ukinifahamisha wapi mkuu
Mkweli77 JF-Expert Member Joined Jul 26, 2013 Posts 1,459 Reaction score 1,135 Sep 17, 2022 #5 Njoo DM nikupe number ya dalali yupo dar..