Naombeni kufahamu biashara ya kuagiza bidhaa kutoka nje ya nchi

Naombeni kufahamu biashara ya kuagiza bidhaa kutoka nje ya nchi

cli

Member
Joined
Apr 25, 2024
Posts
8
Reaction score
8
Jamani naomba kupata uelewa zaidi kuhusu na biashara ya kuagiza bidhaa kutoka nje ya nchi kuanzia utaratibu mzima,na hatua zote hadi kuupata mzigo ambao pengine natarajia kuufanyia biashara, Zaidi kutoka nchi kama China na nchi zengine za Asia
 
Kila bidhaa inautaratibu wake kuagiza kutoka nje. Ila nimeshangaa kuona mpk sasa ujajua unataka kuagiza nn? Uko china.
KAZI ni kipimo cha utu
 
Jamani naomba kupata uelewa zaidi kuhusu na biashara ya kuagiza bidhaa kutoka nje ya nchi kuanzia utaratibu mzima,na hatua zote hadi kuupata mzigo ambao pengine natarajia kuufanyia biashara, Zaidi kutoka nchi kama China na nchi zengine za Asia
Kuna Uzi ulitumwa humu taratibu za kuagiza bidhaa china, embu search utauona upo complete,
Achana na hawa wanaokukatisha tamaaa
 
  • Thanks
Reactions: cli
Nashukur kaka ngoja niutafute
 
Back
Top Bottom