Naombeni kufahamu hili kuhusu Electric Scooter

Naombeni kufahamu hili kuhusu Electric Scooter

mimi rafiki zangu wawili wanavyo. ila wote wanaishi down town so misele ya katikati ya jiji. mmoja anacho zaidi ya mwaka hakijasumbua, mwingine betri zilizingua yeye ni zaidi ya miaka miwili so akanunua betri nyingine akapachika.
wote wanasema kinawa save kwenye mafuta. ila mimi navyoviona vile labda ni mapenzi ya umeme maana kile hata kingekuwa na engine ya combustion, si mafuta kinanusa kile.
Sijui kwanini ila kila nikiviona naona kama vya umeme sio imara
 
Back
Top Bottom