Naombeni kufahamu hili kuhusu Electric Scooter

Naombeni kufahamu hili kuhusu Electric Scooter

Iivi bile vidude vina bima kweli? Maana unaweza hata ukagongwa na boda boda mwenzako, wewe umepona chenyewe kimesusa kimeingia kwenye gari chini. Ndo mchezo umeisha
 
Iivi bile vidude vina bima kweli? Maana unaweza hata ukagongwa na boda boda mwenzako, wewe umepona chenyewe kimesusa kimeingia kwenye gari chini. Ndo mchezo umeisha
vile vya umeme hata kusajiriwa havijasajiriwa vitakuwa na bima?
Yaani havina number plates.
 
Kama ya umeme kwa hiyo bei unayosema nadhani ni hizi Linkall Electrical scooter. Kuna dogo anayo.

Faida:
Umeme bei ndogo kuliko mafuta.
Haiitaji registration wala bima wala leseni.
Rahisi kujifunza sana.

Hasara:
Nina mashaka na ubora wa battery.
Range ya kilometa 60 ndogo sana.
Build quality sio nzuri sana kwani nimeona plastic zimeanza kubanduka banduka, unavoendesha kanalialia.

Haka kama unamisele mifupi ya Posta tu au Kariakoo tu, ndio kanafaa. Ila kama unapiga zaidi ya kilometa 10+ kwenda tu kazini au misele so na kurudi 20+ sidhani kama ni wazo zuri. Pia kama unatumia sana highway ni risk.

Overall Bora izi za Petrol.
 
Ata pale ofisi zao Mwenge bei ndio iyo, range ya 60 ila ukitaka 80km 1.8m
mkuu nilikosea kwenye ujumbe wangu, lkn nilikuwa nahitaji kujua bei ya vile vya mafuta nimchukulie dogo..mdau alisema 1.5m nikataka kujua ni wp bei hiyo inatembea
 
mkuu nilikosea kwenye ujumbe wangu, lkn nilikuwa nahitaji kujua bei ya vile vya mafuta nimchukulie dogo..mdau alisema 1.5m nikataka kujua ni wp bei hiyo inatembea
Okay za mafuta, kwa 1.5m probably ni used.
 
Back
Top Bottom