The useful idiot
JF-Expert Member
- Jul 14, 2024
- 1,019
- 2,670
Sitaki website nataka maoni ya watu waliyowahi kuzitumiaElectric Scooters vs Petrol Scooters: Which One To Choose?
Explore the comparison between electric and petrol scooters, their advantages, drawbacks, and factors to consider before making a choice.www.tataaig.com
Toa mada na sababu ya kwanini petrol ukiisha kusema hivyo haileti mantikiPetrol
Naam ndio nimesema sasaOk. Ila hukulisema hili kwenye post yako ya kwanza.
Poa poaWe unaonekana unajua ila unataka kutu-enjoy. Endelea
Kaza mtoto wa kiumeSentensi ya kitemi hivi utakuja kutana na watemi wenzio kwenye majibu.
Sijui kwanini ila kila nikiviona naona kama vya umeme sio imaramimi rafiki zangu wawili wanavyo. ila wote wanaishi down town so misele ya katikati ya jiji. mmoja anacho zaidi ya mwaka hakijasumbua, mwingine betri zilizingua yeye ni zaidi ya miaka miwili so akanunua betri nyingine akapachika.
wote wanasema kinawa save kwenye mafuta. ila mimi navyoviona vile labda ni mapenzi ya umeme maana kile hata kingekuwa na engine ya combustion, si mafuta kinanusa kile.
Kuna scooter niliona inauzwa Honda used za kizamani, ila wasiwasi wangu haziwezi baadae kuzuiliwa kuingia town? Pia maswala ya leseni na traffic ndio vinaniwazishamimi pia naona kama si imara vile.