Naombeni kufahamu kuhusu biashara ya kuuza viatu vya kiume

Naombeni kufahamu kuhusu biashara ya kuuza viatu vya kiume

bob_fundi

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2025
Posts
457
Reaction score
705
Habari wana jf, poleni na majukumu
Naombeni kufahamu kuhusu biashara ya kuuza viatu vya kiume .

Mm natamani sana mwaka huu kwanzia mwezi wa kumi kufanya biashara ya viatu vya kiuwe nilikuwa naomba anaye fahamu biashara hii kwa kina anipe 1&2 kuhusu biashara .

1.Natamani kujua zaidi kuhusu mpatikana wa viatu hivyo vya kiume.

2. Natamin kujua changamoto zake

3.mm hapa mpaka mwez wa kumi natarajiq kuwa na mtaji kama 2M .natamani kujua naweza pata pea ngap ?
 
Back
Top Bottom